Send It Home: zawadi inayocheza sauti yako

Rekodi hadi sekunde 60 za sauti yako au video fupi, nasi tunakupa kiungo binafsi na msimbo wa QR. Weka kiungo kwenye ujumbe wa zawadi au chapisha msimbo wa QR: familia yako ikiuskani, inakusikia.

Ukurasa mzima na zana yenyewe bado ziko kwa Kiingereza kwa sasa.

Nani anaweza kuona au kusikia ujumbe wangu?

Mwenye kiungo binafsi au msimbo wa QR tu. Ukurasa hauonekani kwenye injini za utafutaji, na mtu hukagua kila ujumbe kabla haujachezwa.

Ujumbe wangu unaweza kuwa mrefu kiasi gani?

Hadi sekunde 60 na MB 25, sauti au video, iliyorekodiwa kwenye ukurasa au kupakiwa kama faili ya MP3, M4A, MP4, WebM au MOV.